Portfolio

MRADI WA AFYA

Mgodi wa ACACIA umekua mkombozi mkubwa kwa wananchi wanaoishi katika vijiji vinavyouzunguka mgodi nchini Tanzania. NYOTA RAYS MEDIA imeweza kuwaonesha watanzania kile ambacho mgodi huu umeweza kukifanya kwa wananchi wao kwa kuzalisha vipindi vya runinga vinavyohusu miradi mbalimbali inayofanywa na mgodi katika kuwajali wananchi wake, ni kama wadau wanavyosema 'LETS BRING BACK TO OUR PEOPLE" ndicho kilichofanyika kwa wadau wa maendeleo ACACIA katika "KUNAIBUA UWEZO WA WATANZANIA"

Date

22 January 2017

Categories

Videos

FaceBook FanBox

Who we are

We are a Tanzania registered company offering a comprehensive and integrated range of advertising and communication services in Traditional advertising, media investment management, marketing consultancy, public relations, documentary production and Bulk SMS.

Connected with us

Search